Jamani naomba kuuliza mwenye taarifa au uzoefu wowote atusaidie kwa sisi tuliokata rufaa kweny dirisha la mkopo HESLB majibu lini tujue wapo kimya hatuelewa lolote jamani

Sawa.
Rufaa huhitaji muda, kumbuka wanachofanya ni kupitia fomu yako ya maombi upya. Kwa hiyo itachukua muda wa si chini ya mwezi mmoja. Halafu fuatilia taratibu zao huwa wanataja muda ambao rufaa zitafanyiwa kazi.