Inategemea na ulipo
Ila kama ni mjini humuhumu ni bora utafte gari zuri jingine
Maana Brevis sio gar zur na litapitwa na wakati sio mda na linakula mafuta sana kwa golen za apa na pale, kingine ni zito sana na engine kubwa so nguvu nyingi zinatumika kuendesha uzito mkubwa kitu kinacholifanya lisiwe na acceleration kubwa na wepesi