Naomba kuuliza ulipokutana na kitu cha hivi ulifanya nini?

Naomba kuuliza ulipokutana na kitu cha hivi ulifanya nini?

curtis jr2

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
770
Reaction score
4,618
Kuna mambo tumekuwa tukikutana nayo kwenye Internet kupitia vifaa vyetu, kama Simu Tablets, na Computer, unakutana na Notification inayosema hongera umejishindia Mf, Simu au Tv, n.k

Nam naomba kuuliza ulipokutana na kitu cha hivi ulifanya nini, na je ni kweli huwa wanatoa hizo zawadi kuna mtu humu aliwahi kupata hiyo zawadi, na kama ulipata ulipata kwa njia gani, au pia kama sio kweli ina maana hawa watu wa mitandao wanatuona sisi malofa,

KARIBUView attachment 1686643
Screenshot_20210125-231414_1.jpg
 
Back
Top Bottom