M Madewa JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 467 Reaction score 189 Sep 30, 2012 #1 Habari wana Jf. Naomba kuuliza kwa mwenye taarifa kuhusu matokeo ya interview ya pili ya IT OFFICERS ya CRDB BANK anijuze tafadha! Natanguliza shukrani zangu!
Habari wana Jf. Naomba kuuliza kwa mwenye taarifa kuhusu matokeo ya interview ya pili ya IT OFFICERS ya CRDB BANK anijuze tafadha! Natanguliza shukrani zangu!