Naomba kuuliza wana jamvi

F 4 REAL

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
19
Reaction score
0
kufuatia kauli alotoa naibu waziri wa elimu kua ajira mpya za walimu ni january sawa,sasa nauliza je ni vigezo gani wizara inaangalia kuajiri walimu hao hao katika vyuo vya ualimu vya diploma?Tumezoea kua wanaosoma BED ndio wakufunzi wa vyuo na wanaosoma BAED wao hupelekwa secondary sasa je haiwezekani na BAED wakapangiwa vyuo?maana content ni zile zile wanaweza fundisha pia..naomba mnaofahamu vigezo vya ajira hii tujuzane.Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…