Naomba kuuliza wanajamvi

sir None

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
428
Reaction score
214
Hivi hzi betting za mpira mfano meridian na premier kuna watu huwa wanapata?
 
Tunapata sana na tunapigwa pia.Nzur weka timu chache tatu ndo mpango
 
Naomba wakunisaidia kunipa uzoefu kuwa inatakiwa ufanye hivi au uweke tmu kadhaa na kiasi flani ndo utakuwa unawin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…