naomba kuuliza wapi nitapata injini bora ya mtumba ya mark 2 gr,shafti ilishachongwa nataka kubadili moja kwa moja injini maana gharama za kuchonga na kununua baadhi ya vipuli naona ni ghali kiasi,kuna watu wamenishauri nitafute injini mpya.msaada tafadhali