Hiyo ni kampuni ya ulinzi inadili na escorting vitu vya thamani kama madini,fedha,n.k. Hulinda sehemu mbalimbali kama vile migodi, benk . Hii ndiyo kampuni kubwa na bora zaidi ya secure ulimwenguni, katika nchi kama USA,SOUTH AFRICA wanafanya pia na kazi za kiusalama kama polisi ,wanafanya kazi kama trafic marshal pia huko duniani.
Nimewahi fanya kazi na hii kampuni BULYANHULU GOLD MINE, nikawakacha baada ya kupata kazi serikalini.