Salam wakuu,
Mi kwa kifupoi ningependa kufahamu kuhusu lile swala la kwamba coin ya shillingi mia kua inaweza kuabsorp snake's poison kama ikitokea bahati mbaya umeng'atwa and what's the mechanism behind. Pia napenda kujua kuhusu yale mawe claimed kua na uwezo wa kunyonya sumu ya nyoka.