Naomba kuuliza.. !!!!

Naomba kuuliza.. !!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
ni muda gani baada ya kumaliza dozi ya dawa unaruhusiwa tena kutumia kilevi
 
inategemea ulikuwa unaumwa nini na ulitumia dawa gani. pumzika japo wiki, isitoshe hakuna faida yeyote ya kutumia kilevi.
 
baada ya masaa 24 ila inategemea na dawa.KILA MTU NA STAREHE YAKE KWANI BORA KUWA MLEVI KULIKO MALAYA HATA WAKE ZENU HUSEMA
 
inategemea ulikuwa unaumwa nini na ulitumia dawa gani. pumzika japo wiki, isitoshe hakuna faida yeyote ya kutumia kilevi.

shukran mkuu, nlikunywa dawa flan kuchoma cndn ya TT baada ya kukatwa na kipande chabati mguun
 
Back
Top Bottom