Naombeni msaada jamani, dada yangu amechaguliwa kidato cha tano Loreza Sec-Mbeya, hatujapata joining instruction naomba kujua mahitaji ya muhimu na aina ya sare ili nimuandalie. Naombeni msaada huo.
SARE: Wanavaa skirt rangi ya blue bahari, masweta ya rangi ya blue bahari, mashati meupe, (sweta ni muhimu sababu huku mbeya kuna baridi, sketi iwe ndefu ya kutosha vinginevyo watamzingua) Karibu Mbeya mhusika, masomo mema.