Naomba Kuuliza

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,273
Mwanaume kumuwekea mkewe walinzi akiwa safarini ni sawa? Mf. Wafanyakazi wa hotel, wafanyakazi wenzake, nk
 
mmmmh si sawa!
Mbona wa Zuma kaliwa na anawalinzi
Wa Mugabe kabanjuliwa na ana walinzi
Wa Mswati kapigwa kitu na anawalinzi

Ukimuwekea walinzi haohao walinzi watambanjua
We muache huru, kama siyo kicheche atakueheshimu, kama ni kicheche hata ufanye nini atachecheka tu
 
Sio sawa kabisa wanaume saa nyingine tunakuwa bogasi,mwanamke hachungwi bana
 
mmh jaman
bnadamu achunguki ao wanaomlinda ndo watakaoiba.....
chek wap pbm ulisove ili muwe huru lakin cha kuwekeana walinz ahhh naona km wajaribu FUNIKA JUA KWA UNGO....HAIWEZEKANIKI..
--kaa chini tatuen utata then kila mtu atakuwa huru na kujilinda kwa tym ake...
...ustegemee kufanya mafyongo HAUMTUNZ mkeo then ukategemea walinz mmh mmh apana nooooooooooo!!!!
 
Usimchunguze sana kuku/bata utashindwa kumla ingawa mtamu
 
hapa mimi siongezi neno

tangu lini binadamu akachungika?
 
Hapa sasa itabidi nimwelimishe jamaa maana mmmhhh!!!!
 
inaweza ikawa sawa ina weza ikawa si sawa.. inategemea na situation
 
Chunga kuku, bata , mbuzi nk ila mwanadamu wajidanganya ndugu....
 
Mwanaume kumuwekea mkewe walinzi akiwa safarini ni sawa? Mf. Wafanyakazi wa hotel, wafanyakazi wenzake, nk

Dume lenye uhakika halimchungulii mkewew, hilo halina uhakika hilo, labda linachua linatimiza majukumu partially au ni libovu kabisa
 
Dume lenye uhakika halimchungulii mkewew, hilo halina uhakika hilo, labda linachua linatimiza majukumu partially au ni libovu kabisa

Eti eeehhh hajiamini?!!!
 
Eti eeehhh hajiamini?!!!

Labda umezidisha maufundi hadi hataki wengine wasogee, hiyo initwa BONAFIDE CLAIM OF RIGHT- hako ka style kako applicable kwa midume yanye uchu na wivu wa kupindukia
 
Labda umezidisha maufundi hadi hataki wengine wasogee, hiyo initwa BONAFIDE CLAIM OF RIGHT- hako ka style kako applicable kwa midume yanye uchu na wivu wa kupindukia

Ufundi kawaida katika malavu si unajua tena mboga bila chumvi na vioungo hainogi? Shauri yake nitampa ushauri wenu
 
ushawahi chunga kunguru ukaona matokeo hilo ndo jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…