Naomba kuulizia bei za chainsaws au mashine za kukatia miti kwa Zanzibar

Naomba kuulizia bei za chainsaws au mashine za kukatia miti kwa Zanzibar

Nyarupala

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
494
Reaction score
856
Habari za mida hii? Natumaini yangu wote hamjambo.

Naomba kuulizia bei za chainsaws au mashine za kukatia miti kwa zanzibar maana huku bara bei zake ziko juu sana ase mapaka kero.

Mashine hasa ninayotaka ni Husqvarna 268 na 272.

Asanteni wote.
 
Zanzibar hazitakiwi hizo na zimeshapigwa marufuku ukikamatwa nayo imekula kwake, hizo walioruhusiwa kuzutumia ni Zimamoto (Faya)tu kwa ajili ya kukatia na kuondolea miti iliyokatika njiani
 
Zanzibar hazitakiwi hizo na zimeshapigwa marufuku ukikamatwa nayo imekula kwake, hizo walioruhusiwa kuzutumia ni Zimamoto (Faya)tu kwa ajili ya kukatia na kuondolea miti iliyokatika njiani
Mkuu syo kwa matumizi ya zanzibar,nmeongelea zanzibar kama sokoni ni bei gani
 
Chonde chonde mkuu usinunue chain saw kwa kuharibu mazingira kwa kukata miti hovyo.
 
Back
Top Bottom