Hizo zinauzwa ofisni kwao john deere, au kwa mawakala wakubwaOk,bei zake vipi kwa zanzibar?
Mkuu syo kwa matumizi ya zanzibar,nmeongelea zanzibar kama sokoni ni bei ganiZanzibar hazitakiwi hizo na zimeshapigwa marufuku ukikamatwa nayo imekula kwake, hizo walioruhusiwa kuzutumia ni Zimamoto (Faya)tu kwa ajili ya kukatia na kuondolea miti iliyokatika njiani