Mm n mhtm wa kdato cha nne mwaka jana na matokeo kiujumla kuna three moja ya peke yng shulen kwe2.Nmepata three ya 24 Phys:C Chem:C Eng:C Geo:C Math:d Bios:d Ksw:d Hstr:d Cvcs:f . . .Je naweza kwenda form fve؟‎ kama naweza kwenda wanaJf mnanshaur nn niende A-level au niapply chuo?