kwanza shukuru mungu ngugu yangu 3 moja shule nzima yaani hamna 1 wala 2.ila twenzetu chuo mwenzangu tukapige afya waache hao wa a level itakuwa vp baada ya miaka 2 hususani wale wenye uwezo wa kawaida yaani anaenda kupiga pcb au pcm kwa c c cMm n mhtm wa kdato cha nne mwaka jana na matokeo kiujumla kuna three moja ya peke yng shulen kwe2.Nmepata three ya 24 Phys:C Chem:C Eng:C Geo:C Math:d Bios:d Ksw:d Hstr:d Cvcs:f . . .Je naweza kwenda form fve؟‎ kama naweza kwenda wanaJf mnanshaur nn niende A-level au niapply chuo?
unadhani chuo utaenda kukua??ila twenzetu chuo mwenzangu tukapige afya
haya ni maswala magumu kutabirka....utadhani kwamba chuo kuna unafuu lakin nenda ukajionee(sio kwamba nakutishia bali ndio ukweli) na kama unaenda "kupiga afya" uta graduate mapema mno!!!waache hao wa a level itakuwa vp baada ya miaka 2
kwani kuna uwezo wa juu na wa chini??? unaweza ukaenda ha na C D C lakin mwisho wasiku ukatoka na div1 nzuri na wewe uliyeenda huko chuo semister ya kwanza tu ukarudi nyumbani!!!hususani wale wenye uwezo wa kawaida yaani anaenda kupiga pcb au pcm kwa c c c
KWELI UMEMALIZA FORM4!!! na mtindo huu utakugharimu sana....jirekebishe!!!Mm n mhtm wa kdato cha nne mwaka jana na matokeo kiujumla kuna three moja ya peke yng shulen kwe2.Nmepata three ya 24 Phys:C Chem:C Eng:C Geo:C Math:d Bios:d Ksw:d Hstr:d Cvcs:f . . .Je naweza kwenda form fve؟‎ kama naweza kwenda wanaJf mnanshaur nn niende A-level au niapply chuo?
hapo ndugu yangu una asilimia 98% kwenda advanse sababu ya matokeo yenyewenawashukuru wanajamvi wote kwa mchango wenu lakini bado amjaniambia kama naweza kuchaguliwa kwenda advance au laa