Wasiliana na +255752253270 yupo kona ya Soko kuu na NBCNina kieneo changu maeneo ya songea, msamala/mkuzo kuna kibanda naitaji kukiuza kwahiyo nilikuwa naitaji anaowafahamu madalali wa mji huo wa songea aniunganishe nao zoez likifanikiwa chochote kitu nitatoa kwa ataeniunganisha na mmoja wa maadalali wa mji huo ili kufanikisha zoez langu
Unauza bei gani?Nina kieneo changu maeneo ya songea, msamala/ mkuzo kuna kibanda naitaji kukiuza kwahiyo nilikuwa naitaji anaowafahamu madalali wa mji huo wa songea aniunganishe nao zoez likifanikiwa chochote kitu nitatoa kwa ataeniunganisha na mmoja wa maadalali wa mji huo ili kufanikisha zoez langu
Kibanda Una maanisha nini? Eneo Lina ukubwa gani? Limepimwa? Lina hati?10 mililion,