M mdanganyika2009 Member Joined Apr 29, 2009 Posts 5 Reaction score 0 Apr 14, 2010 #1 Wana JF naombeni mwenye kuwajua wanaotarajia kugombea ubunge jimbo la Ukonga na Ilala ikibidi nawasifu wao. Ninatanguliza shukrani zangu za dhati
Wana JF naombeni mwenye kuwajua wanaotarajia kugombea ubunge jimbo la Ukonga na Ilala ikibidi nawasifu wao. Ninatanguliza shukrani zangu za dhati
S S. S. Phares JF-Expert Member Joined Nov 27, 2006 Posts 2,138 Reaction score 85 Apr 14, 2010 #2 Inategemewa Makongoroo Mahanga atasimama tena jimbo la Ukonga. Kuhusu wasifu wake...tafadhali tembelea tovuti ya Bunge.
Inategemewa Makongoroo Mahanga atasimama tena jimbo la Ukonga. Kuhusu wasifu wake...tafadhali tembelea tovuti ya Bunge.
M mdanganyika2009 Member Joined Apr 29, 2009 Posts 5 Reaction score 0 Apr 14, 2010 Thread starter #3 S. S. Phares said: Inategemewa Makongoroo Mahanga atasimama tena jimbo la Ukonga. Kuhusu wasifu wake...tafadhali tembelea tovuti ya Bunge. Click to expand... Phares udumu daima, Huyo mtoa rushwa kajichokea zake Plz naomba mwenye taarifa za wote wanaogombea wandugu mnimwagia hapa.
S. S. Phares said: Inategemewa Makongoroo Mahanga atasimama tena jimbo la Ukonga. Kuhusu wasifu wake...tafadhali tembelea tovuti ya Bunge. Click to expand... Phares udumu daima, Huyo mtoa rushwa kajichokea zake Plz naomba mwenye taarifa za wote wanaogombea wandugu mnimwagia hapa.