Nenda kwenye website ya erb au crb utaona list zao huko.Habari za Siku Ndugu zangu,
Naomba Kuwasiliana na Engineer yeyote Humu Ndani Hasa wa Civil ikiwezekana au Contractor Pia ni sawa!
Naomba Ani PM
Asanteni sana!
Pm this ManHabari za Siku Ndugu zangu,
Naomba Kuwasiliana na Engineer yeyote Humu Ndani Hasa wa Civil ikiwezekana au Contractor Pia ni sawa!
Naomba Ani PM
Asanteni sana!
Bless sana ManPm this Man
Eddy mtatina
Sasa mkuu hutaki official?Hizo Nazifahamu Zinakuwa Official sana!.. Hapa Nataka tuzungumze kuna Scenario Moja inaleta utata Mahala