NAOMBA KUWASILISHA

NAOMBA KUWASILISHA

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Akhsanteni sana
Screenshot_20230528-121711.jpg
 
nawacheka hihihihiiiii.... tarehe 5 june Kombe liaingia dodoma kutokea Dar es Salaam likiwa limetoka hukoooo algeria... kama hauamini subiri uone
 
nawacheka hihihihiiiii.... tarehe 5 june Kombe liaingia dodoma kutokea Dar es Salaam likiwa limetoka hukoooo algeria... kama hauamini subiri uone
Endelea kuota tu,usje ukanya tu
 
Kwa msimu huu yanga imecheza MICHEZO miwili Mikubwa.

Simba na........ 2-0
Usm Algers... 2-1

Sasa nimeanza KUAMINI kuwa Simba ni timu kubwa zaidi Tanzania.
ALHALY.
Raja.
Widad.
KAIZERCHEEF.
Orando pirates.
Berkane nk.

Hawa ni MABINGWA WAKUBWA.. Simba imecheza nao
 
Back
Top Bottom