Ni kweli unahitaji kibali. Andika barua, eleza unachotaka kufanya, ambatanisha na business plan yako, hati ya umiliki wa eneo au shamba unalotaka kutumia kufuga. Watakuja kufanya survey kama wataridhishwa na eneo na business plan utakuwa granted permit ya wildlife farming. Kuna jamaa yangu huko arusha alifanya hivyo na akafanikiwa.