Naomba kwa mtu mwenye kujua mtaala wa vyuo vya ualimu tanzania ngazi ya cheti anisaidie.

Naomba kwa mtu mwenye kujua mtaala wa vyuo vya ualimu tanzania ngazi ya cheti anisaidie.

Joel cole

Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
42
Reaction score
5
heshima yenu wakuu,
kichwa cha uzi hapo juu kinajieleza ,naomba kwa mwenye kujua mtaala mpya wa vyuo vya ualimu tz mwaka 2013 /2014 anijuze au anifumbue macho . nawasirisha
 
heshima yenu wakuu,
kichwa cha uzi hapo juu kinajieleza ,naomba kwa mwenye kujua mtaala mpya wa vyuo vya ualimu tz mwaka 2013 /2014 anijuze au anifumbue macho . Nawasirisha

mtaala wa somo gani?
 
Back
Top Bottom