NAOMBA KWA MUNGU YASITOKEE TENA HAYA ( Tanzania Police Killings on Zanzibar )

NAOMBA KWA MUNGU YASITOKEE TENA HAYA ( Tanzania Police Killings on Zanzibar )

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

NAOMBA KWA MWENYEZI MUNGU YASITOKEE HAYA WAKATI WA UCHAGUZI SIKU YA JUMAPILI HUKO ZANZIBAR NA PEMBA AMEEN.
 
Last edited by a moderator:
It is really sad!
Yaan ndiyo kazi ya polisi wetu hii kweli!
God forbid!
 
Tuna ombea uchaguzi uishe kwa amani, matokeo yakubalike maana penye ushindani lazima mshindi mmoja apatikane wengine wakubali kushindwa. kwa hivyo tutakuwa tumeepuka kusababisha polisi kuingia kati ili kufanya utulivu ulirudi hata kama kuna watakao umia vibaya pengine wengine kufa ili mradi amani isitoweke.

Naomba tuwe watulivu tuache jazba na ushabiki wakati matokeo yanatoka maana agents wa vyama watakuwa wameyasaini na tuyadhibitisha kwenye kila pooling station.
 
Back
Top Bottom