Tuna ombea uchaguzi uishe kwa amani, matokeo yakubalike maana penye ushindani lazima mshindi mmoja apatikane wengine wakubali kushindwa. kwa hivyo tutakuwa tumeepuka kusababisha polisi kuingia kati ili kufanya utulivu ulirudi hata kama kuna watakao umia vibaya pengine wengine kufa ili mradi amani isitoweke.
Naomba tuwe watulivu tuache jazba na ushabiki wakati matokeo yanatoka maana agents wa vyama watakuwa wameyasaini na tuyadhibitisha kwenye kila pooling station.