Mkuu nakubaliana na maoni yako, lakini hebu tufanye ni mchumba na mko kwenye michakato ya kufunga ndoa au ndio mmefunga ndoa mwaka mmoja uliopita (Na Ndoa bado haijajibu) halafu anapata hiyo nafasi ya kwenda ughaibuni kuongeza ilmu, na wewe ni mwajiriwa ukiwa na nafasi ya kawaida tu...........Hii ina maana kwamba akirudi cheo kitapanda na responsibility zitaongezeka lakini pia atakuzidi kipato.......... Hebu niambie hapo unachukua uamuzi gani?
namruhusu.
Au kuna mlinganyo sijauona hapa? Hili swali naked kabisa.
Kwa mwanaume ambaye hajawahi kuishi ughaibuni anaweza kumruhusu kirahisi mkewe kwenda kusoma huko peke yake, lakini kwa aliyewahi kuishi ughaibuni inaweza kuwa ngumu kidogo, unless waende wote.
Piga mimba kabisa aende nayo huko.Kitu muhimu sana hii mkuu
Hapo kwwenye Red ninawasiwasi nako maana kabla ya kumruhusu angalia mchakato wa kuchaguliwa mke wako!Kwa mfano inatokea mkeo au mpenzi wako anakuletea taarifa kwamba ameteuliwa na kampuni anayofanyia kazi akasome nje ya nchi, inaweza ikawa Marekani, Canada au kwingineko ambapo itamlazimu akae huko kwa miaka miwili mpaka amalize kozi yake. Lakini atakuwa anarudi likizo kila mwaka kwa mwezi mmoja.
Hebu niambieni kama inakutokea wewe unafanyaje?
Uko sahihi 100%. Ndoa nyingi sana zimekwisha kwa style hii. Kama umemchoka na haumtaki mruhusu aende.Kwa mwanaume ambaye hajawahi kuishi ughaibuni anaweza kumruhusu kirahisi mkewe kwenda kusoma huko peke yake, lakini kwa aliyewahi kuishi ughaibuni inaweza kuwa ngumu kidogo, unless waende wote.
Nahisi naweza kumruhusu, kama watoto ni wakubwa. kama hatuna watoto tutaenda wote, kazi naacha. nikacheck opportunities nyingine. kama watoto wadogo sana (under 5 yrs) haendi mtu!
Piga mimba kabisa aende nayo huko.Kitu muhimu sana hii mkuu
mi wakati nna mimba yangu, kuna mshkaji ofisini na kulia alikuwa analia kwamba ye ugonjwa wake ni pregnant women
mi wakati nna mimba yangu, kuna mshkaji ofisini na kulia alikuwa analia kwamba ye ugonjwa wake ni pregnant women