Naomba link(s) ya kudownload vitabu

PLAZARO

Member
Joined
Aug 21, 2015
Posts
43
Reaction score
36
Habari Ndugu zangu..

Nimekuwa nikisoma vitabu mbalimbali kupitia maktaba za serikali, ila nmepitia online pia. Kusoma ni jadi yangu na kupitia vitabu najiona kama naongeza vitu vingi sana ambavyo pengine nisingevijua kabisa.

Kwa yeyote anayejua site au ana pdf ya vitabu tofauti kuhusu jamii, personal development, siasa, historia na mahusiano naomba kushare hapa. Site nilizopitia ni chache lakini najua kuna watu wanajua zaidi humu na ni wasomaji wazuri tupeane ushauri kidogo.

Kama unavyo usisite kudondosha hapa au PM tu.

Elimu vitabuni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…