POLITIBURO Member Joined Apr 21, 2012 Posts 41 Reaction score 6 Oct 19, 2012 #1 Wana JF salaam. Naomba kwa mwenye link au list ya SELECTION ya Msc Information Technology and Management kwa mwaka 2012/2013 hapo IFM. Mimi niko huku Singida sijajua kinachoedelea. Please kwa aliye na list anijuze au ani pm. Asanteni
Wana JF salaam. Naomba kwa mwenye link au list ya SELECTION ya Msc Information Technology and Management kwa mwaka 2012/2013 hapo IFM. Mimi niko huku Singida sijajua kinachoedelea. Please kwa aliye na list anijuze au ani pm. Asanteni