Naomba list ya watu maarufu mashabiki wa Yanga

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,329
habarini wadau..

naomben kwenye huu uzi majina ya watu maarufu ambao ni mashabiki wa yanga..

kuanzia wanasiasa, warembo, mabondia, waigizaji, wanamuziki etc...

shukrani sana...
 
Wema sepetu, jerry muro , Mzee yusuph na waimbaji wa kundi lake wote, khadija kopa na kundi lake, waimba taarabu wote wapo yanga maana ndiyo timu yao
 
uzi mnauharibu wadau...

kuweni serious plz...

mimi namjua irene uwoya ni mmojawapo wa yanga fan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…