Naomba ma dokta na wataala mnijuze

Naomba ma dokta na wataala mnijuze

Tish

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
360
Reaction score
209
Nimepima mduara au mzunguko wa uume ukiwa umesimama nimetumia Uzi kuzungusha mpaka ulipokutana nikaweka alama kisha nikapima kwenye rula upande wa inch kuanzia 0 nikapata inch 5.3 je nikiwango cha kawaida au chini ya kiwango
 
Itapendeza saana wakikujibu madocta wa kike.

Ila ungekutwa na my your wife ungesema unafanya nini na uzi na rula huku upo uchi mkuu?
 
Nimepima mduara au mzunguko wa uume ukiwa umesimama nimetumia Uzi kuzungusha mpaka ulipokutana nikaweka alama kisha nikapima kwenye rula upande wa inch kuanzia 0 nikapata inch 5.3 je nikiwango cha kawaida au chini ya kiwango
Tafuta kazi ya kufanya...mbona zipo nyingi.
 
Hivi hizi shule zinafunguliwa lini? Watoto humu ndani wapungue. Huyo doctor anayemuhitaji sijuh wa kike au wa kiume
 
Piga shule kaka hayo yote utakutana nayo kwenye anatomy&physiology.
 
Mwanaume yoyote anayewajua wanawake hawezi kuuliza nonsense questions kama hizi dogo soma kwanza aya mambo utayakuta
 
Aliupima ili iweje kamjarib nani lii wako and then muulize amekolea
 
Halafu mtu anakwambia dunia ina Maajabu saba eti! Kweli!!!
 
5.3 ndo vibamia hivo mkuu sema chako kimekuwa kibilinganya saizi ni 6
 
Back
Top Bottom