Naomba maana ya kisheria ya haya maneno

Naomba maana ya kisheria ya haya maneno

postgreSQL

Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
11
Reaction score
4
naomba darasa kidogo maaana ya maneno haya . policy, law, regulation, and guidelines na itakua vema kama ntapata na vyanzo vyake. ikiwa kwa kingereza itakua vyema zaidi.
 
mnadhan kila kitu kipo google ?
Hayo maneno yapo Google mpaka na etymology zake na matumizi mbalimbali ikiwemo kwenye sheria. Sema tu unataka kutafuniwa kamanda. It is OK [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom