naomba darasa kidogo maaana ya maneno haya . policy, law, regulation, and guidelines na itakua vema kama ntapata na vyanzo vyake. ikiwa kwa kingereza itakua vyema zaidi.

Hayo maneno yapo Google mpaka na etymology zake na matumizi mbalimbali ikiwemo kwenye sheria. Sema tu unataka kutafuniwa kamanda. It is OK [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]