Naomba maana ya maneno yafuatayo

Naomba maana ya maneno yafuatayo

Mndwyika.wetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
652
Reaction score
829
Ndugu zanguni humu jamvini naomba maana na mifano ya maneno au sentensi zifuatazo.

1. Uchochezi
2. Kumtukana Rais
3. Kumchonganisha Rais na wananchi.
 
Last edited by a moderator:
1.uchochezi ni pale unapojua maana ya neno af unawauliza wadau makusudi ili wajadili
2.kumtukana raisi ni kumwambia raisi muoga wakati kafungia mikutano ya siasa na hakuna anaebisha
3.kumchonganisha na wananchi ni kuwaambia wananchi kuwa ndege aliyonunua haina faida kwao....
Hope nimejaribu kidogo kukujibu
 
2. Kwani kukataza mikutano ya siasa ni uoga au USHUJAA?
3. Kwani ndege ina faida gani kwa wananchi wa vijijin?
Ethiopia wanazo hizo ndege zaidi ya mia, lakini wanachi wake kila kukicha wanakamatwa kwenye malori wanakimbia nchi, kwa nini hizo ndege zisiwasaidie
 
Uchochezi ni kitendo cha kumtukana raisi na kumchonganisha na watu wake
 
Back
Top Bottom