1.uchochezi ni pale unapojua maana ya neno af unawauliza wadau makusudi ili wajadili
2.kumtukana raisi ni kumwambia raisi muoga wakati kafungia mikutano ya siasa na hakuna anaebisha
3.kumchonganisha na wananchi ni kuwaambia wananchi kuwa ndege aliyonunua haina faida kwao....
Hope nimejaribu kidogo kukujibu
2. Kwani kukataza mikutano ya siasa ni uoga au USHUJAA?
3. Kwani ndege ina faida gani kwa wananchi wa vijijin?
Ethiopia wanazo hizo ndege zaidi ya mia, lakini wanachi wake kila kukicha wanakamatwa kwenye malori wanakimbia nchi, kwa nini hizo ndege zisiwasaidie