Naomba maana ya neno TAHOJIA...?

Livejr

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
2,070
Reaction score
2,794
Wakuu poleni na majukumu. naomba kufahamishwa au kujuzwa maana ya neno "TAHOJIA"
 
Wakuu poleni na majukumu. naomba kufahamishwa au kujuzwa maana ya neno "TAHOJIA"

Tahojia au 'tahajia'?

Kama ni 'tahajia' basi maana yake ni spelling, kwa Kiingereza (kama hiyo itakusaidia kujua maana yake).
 
Utamshi wa maneno kama inavyokubalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…