Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi za Ulaya zilifilisika kutokana na kuwa uwanja mkuu vita
Kuanzia nchi za Scandinavia, Mainland Europe mpaka Uingereza kote huko vita vikuu vya pili vya dunia vilirindima kwelikweli
Bara la Ulaya ndio bara lililoshuhudia mapambano makubwa na makali ya vita, bara la pili kwa kuathirika lilikuwa Asia kwa mapambano ila si kwa kiasi kikubwa kama Ulaya
Vita huwa vinasababisha hela ya nchi inapopiganwa kuwa toilet paper tu hii ndio sababu wakawa wanahitaji mikopo ili kujinasua na ugumu wa maisha ya vita, maeneo yanayopiganwa huwa hayalimi watu hawafanyi kazi au biashara n.k hivyo huwa ni majanga zaidi ya majanga
Mwisho je ni kwa sababu gani USA alikuwa pushed kuwakopesha hawa Weupe wenzake? Jawabu ni kuwa baada ya vita kuisha yaliibuka mataifa mawili yenye nguvu sana US na USSR na yote ndio yalikuwa vizuri kiuchumi peke yake na kama tunavyojua mafahari huwa hawaivi chungu kimoja
sasa kama US asingetoa pesa kuwakopesha washirika wenzie waliokuwa wamefilisiwa na vita wajikwamue Inamaana wangesaidiwa na USSR na wakaangukia mikononi mwa ideology adui na Ubepari ya ukomunisti wakawepo maadui wengi dhidi ya USA waliokuwa marafiki wakawa sasa maadui na hii ni hatari
And so walilijua mapema hili wakachanga karata zao wakafanya jambo sahihi
Asante sana boss,nimepata hapo mwangazaMpango wa Marekani kusaidia kujenga uchumi wa nchi za ulaya zipizoathirika na vita kuu ya pili ya dunia.General Marshal alikuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani na ndiye aliyeasisi mpango huu ndo ukaitwa kwa jina lake.
Shukrani sana mkuuMpango wa Marekani kusaidia kujenga uchumi wa nchi za ulaya zipizoathirika na vita kuu ya pili ya dunia.General Marshal alikuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani na ndiye aliyeasisi mpango huu ndo ukaitwa kwa jina lake.
Mpango ulianza kutekelezwa 1947 na ilitarajiwa us d bil.13 zitumike kwa kuanzia ambapo nchi za ulaya zilipata fedha,Wataalamu,mitambo,madawa,chakula ,maliguafi nk.Ulaya ilitakiwa kuungana pamoja na na kufungua masoko pamoja na kuachia makoloni katika kulichojulikana kama open door policy.
Asante sana kiongoziNchi za Ulaya zilifilisika kutokana na kuwa uwanja mkuu vita
Kuanzia nchi za Scandinavia, Mainland Europe mpaka Uingereza kote huko vita vikuu vya pili vya dunia vilirindima kwelikweli
Bara la Ulaya ndio bara lililoshuhudia mapambano makubwa na makali ya vita, bara la pili kwa kuathirika lilikuwa Asia kwa mapambano ila si kwa kiasi kikubwa kama Ulaya
Vita huwa vinasababisha hela ya nchi inapopiganwa kuwa toilet paper tu hii ndio sababu wakawa wanahitaji mikopo ili kujinasua na ugumu wa maisha ya vita, maeneo yanayopiganwa huwa hayalimi watu hawafanyi kazi au biashara n.k hivyo huwa ni majanga zaidi ya majanga
Mwisho je ni kwa sababu gani USA alikuwa pushed kuwakopesha hawa Weupe wenzake? Jawabu ni kuwa baada ya vita kuisha yaliibuka mataifa mawili yenye nguvu sana US na USSR na yote ndio yalikuwa vizuri kiuchumi peke yake na kama tunavyojua mafahari huwa hawaivi chungu kimoja
sasa kama US asingetoa pesa kuwakopesha washirika wenzie waliokuwa wamefilisiwa na vita wajikwamue Inamaana wangesaidiwa na USSR na wakaangukia mikononi mwa ideology adui na Ubepari ya ukomunisti wakawepo maadui wengi dhidi ya USA waliokuwa marafiki wakawa sasa maadui na hii ni hatari
And so walilijua mapema hili wakachanga karata zao wakafanya jambo sahihi
Karibu sanaMkuu ,shukrani sana,nimeelewa hiyo mambo,pamoja sana
Ksribu tena.Mkuu ,shukrani sana,nimeelewa hiyo mambo,pamoja sana