AsanteKanunue dawa inaitwa Alubametin
Hata kuvuna sijaanza ila ndiyo majanga kama unavyoona ila viroba viwili kwa wiki zikichanganya mwezi ujao ndiyo naanza kuzipiga mbolea na booster, huyu jamaa kumbe alidanganya hakuna haja ya madawaUnapata viroba vingapi?