stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kienyeji hii
Andaa mchele, usafishe ipasavyo
weka jikoni na maji kiasi
ongeza chumvi/sukari kutegemea na unachopenda
acha kwa muda hadi mchele uive sana na maji yaishe
ongeza maziwa fresh na blueband kidogo
kama ni mpenzi wa viungo waweza ongeza iliki ya unga kwa harufu nzuri
koroga ili vichanganyike vizuri na kuwa laini zaidi
acha maziwa yachemke pia, kuwa mwangalifu isiungue kwa chini, itakuwa na harufu mbaya
shusha tayari kwa kuliwa
Wepesi wa uji uzingatie umri wa walaji, kama ni watoto wadogo sana, iwe nyepesi na laini sana, punje zisije mkaba kooni
Ni lishe nzuri kwa watoto, hasa sie tunaowaacha na ma hg, walau kina kaa tumboni kwa muda, hata akimsahau sahau ana survive.
Na mie ni mama wa watoto wengi, lazima ujifunze kubalansi mambo, kibox cha cornflakes kinaisha siku 2.
Muongo ni mtamu sana
Unapikwaje?
Aksante sana mpendwa.Note:kama uji huu anakunywa mtoto zisage oats kwanza ndipo uanze kupika uji
Muongo ni mtamu sana
Hahhahaha. ..yaaan jaan umenichekesha hivo ulivyomkatia huyo jamaa... pengine yy haupendi tuu usimwite muongo...lol
swadakta, ni mtamu sana huuMahitaji
Oats
Maziwa
Hiliki
Fenugreek (sio lazima) ila kwa breastfeeding mama inasaidia lactation
Namna ya kutaarisha....
Chemsha maji
Weka oats zichemke hadi kuwiva
Add maziwa na hiliki....acha ichemke kdg
Epua
Tayar kwa kuliwa.....
Note:kama uji huu anakunywa mtoto zisage oats kwanza ndipo uanze kupika uji
Mahitaji
Oats
Maziwa
Hiliki
Fenugreek (sio lazima) ila kwa breastfeeding mama inasaidia lactation
Namna ya kutaarisha....
Chemsha maji
Weka oats zichemke hadi kuwiva
Add maziwa na hiliki....acha ichemke kdg
Epua
Tayar kwa kuliwa.....
Note:kama uji huu anakunywa mtoto zisage oats kwanza ndipo uanze kupika uji