Naomba maelekezo Jinsi ya kupika Uji wa mchele

Wakati nasoma asubuhi ilikuwa lazima ninywe uje wa mchele na ndio niende shule.
Nalog off
 
mi na utu uzima huu haipiti wiki sijanywa uji wa mchele
 
Waxhina pia wanaupenda sana wanaita shi fan ila wao wanachemsha tuu bila kuweka chochote hata chumvi kidogo hakuna hivyo unakuwa hauna ladha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…