mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
kitu kama hiki hakiwezekani kwani risk itakuwa mkikita.... hamna organisation ya kibongo inaweza kufanya hili."we unatoa fees wanakuchukulia mkopo wanakulimia wanakata gharama za ulimaji na mkopo we eti unapewa faida"
Hata mimi hainiingii akilini aisee sema kuna mtu hapa ameshatoa ela basi najaribu kumwelewesha kuwa ni kama namaingo maana eti nao wanaambiwa wanataftiwa mikopo sijui wamesaini mikataba sawa na namaingo tukitu kama hiki hakiwezekani kwani risk itakuwa mkikita.... hamna organisation ya kibongo inaweza kufanya hili.
katafute maelezo yao ya kina nina uhakika wa 95%+ risk itakuwa kwa mkulima.
Wanakukulimia wewe ukiwa mjini unakula AC? Hakuna kilimo cha aina hiyo Duniani. Hizo ni triki za kupiga wale wavivu wote.Kuna hawa wanajiita MKIKITA naona nao wana project kama za Namaingo we unatoa fees wanakuchukulia mkopo wanakulimia wanakata gharama za ulimaji na mkopo we eti unapewa faida tu.
Nikitazama naona kama ni Namaingo katika another form naomba mwenye ushuhuda anisaidie
wanapiga sana pesa za watu wasio weza kuwazaHata mimi hainiingii akilini aisee sema kuna mtu hapa ameshatoa ela basi najaribu kumwelewesha kuwa ni kama namaingo maana eti nao wanaambiwa wanataftiwa mikopo sijui wamesaini mikataba sawa na namaingo tu
Yani huyu mtu wangu wa nne anapigwa wengine walipigwa na namaingo kwenye kilimo na ufugaji wa sungura huyu naye anapigwa kwenye kilimo na hawa yani too good to be truewanapiga sana pesa za watu wasio weza kuwaza
mbegu ya muhogo wanauza 200,000/= ya kutosha ekari moja (kwa wakulima ~ 80,000/=) unaweza kuambiwa uifuate mkuranga na wewe upo kibaha!Taarifa zaidi nenda ofisini kwao watatujuza kwa undani then unafanya maamuzi.
*TANGAZO KWA WALIOWEKEZA KWENYE MIRADI YA BLOCK FARMS - MKIKITA.*Kuna hawa wanajiita MKIKITA naona nao wana project kama za Namaingo we unatoa fees wanakuchukulia mkopo wanakulimia wanakata gharama za ulimaji na mkopo we eti unapewa faida tu.
Nikitazama naona kama ni Namaingo katika another form naomba mwenye ushuhuda anisaidie
ALIYE NA MAENDELEO YA TAARIFA YA HAWA WATU NI IPIWazushi tu kama hao wengine
OvA