Naomba maelezo kuhusu kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti

Jaes

Member
Joined
Mar 15, 2023
Posts
6
Reaction score
8
Wana Jamii forums naomba kwa ambae ana uelewa au kwa ambae amewahi kufanya hii biashara ya kukamua mafuta ya alizeti, nahitaji kujua machine zinazitumika kukamua, bei zake kama kunae anaejua,lakini pia uwezo wa uzalishaji, package na masoko yalivyo
 
Sawa nitafanya hivyo mkuu nikifanikiwa nitawaletea mrejesho ndugu zangu
Karibu sana
Pia kama unataka large scale waone IVORI wapo Iringa Kitwilu...watakushauri b jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…