Habari za muda huu wadau wa JamiiForums.
Naomba ushauri na maelezo kuhusu Recategorization kwenye swala la ajira.
Mimi ni Clinical Officer lakini pia ni Mwalimu wa mathematics Ngazi ya degree. Niliomba ajira za Ualimu degree (mathematics) na nimepangiwa post tayari.
Niliomba ajira hii baada ya account ya Ajira portal kuleta shida na kuninyima fursa ya kuomba utabibu.
Je Itawezekana Mimi kubadilisha kada ya Ajira kutoka education kwenda Afya kulingana vigezo nilivyoweka? Na itachukua muda Gani kufanya Recategorization kama Itawezekana?
Naombeni ushauri wadau.