Mkuu Mwashelii, mimi sina uhakika na hizi condom za bongo, labda za wenzetu huko majuu, huenda condom zikawa na uwezo wa kumkinga mtu asiambukize/kuambukiza virusi, ila ieleweke ngono ni tendo kubwa linalohusisha viongo mbalimbali vya mwili, mf. wakati wa kumuandaa mwanamke kuna wengne wanatumia ulimi, kunyonyana denda, nk, sina imani na condom za ya uwezo wake wa kuzuia mimba tu, kama condom inazuia maambukizi ya vvu, basi, ujue sio hizi zinazoonekana mitaani ambapo wengine wanapewa bure kama mseto.