Naomba majibu kuntu ya swali hili?

Majina hayo yameandikwa kiingereza zaidi kuliko uasili wao.Hao wote wana majina ya Kiebrania.Hutamkwa na kuandikwa kwa asili yao ya kiebrania.
 
Hao hawapo kule kabisa hata mitume yao ni changamoto ,majina kama Paulo halipo kule middle east
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…