Naomba majibu yenu wana jf

Naomba majibu yenu wana jf

SIDEMKAMILIFU

Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
10
Reaction score
1
nini uhusiano uiopo baina ya fasihi na jamii ukitumia angalau vitabu 2 vya riwaya?
 
nini uhusiano uiopo baina ya fasihi na jamii ukitumia angalau vitabu 2 vya riwaya?

Ahya ngoja nikumbushie kidogo,
Fasihi ni sanaa ya lugha ambayo hutumika kufikisha ujumbe katika jamii na kukusoa yale maovu yote yanayotendeka, kuna aina mbili za fasihi, fasihi simulizi na fasihi nazo zimegawanyika katika vipengele vingapi vilee?? Dah! kitambo kweli.. Ila elimu yetu hi bhana unakisoma sio utakachokuja kukifanyia kazi
 
Back
Top Bottom