Ahya ngoja nikumbushie kidogo,
Fasihi ni sanaa ya lugha ambayo hutumika kufikisha ujumbe katika jamii na kukusoa yale maovu yote yanayotendeka, kuna aina mbili za fasihi, fasihi simulizi na fasihi nazo zimegawanyika katika vipengele vingapi vilee?? Dah! kitambo kweli.. Ila elimu yetu hi bhana unakisoma sio utakachokuja kukifanyia kazi