Naomba makadirio ya bati za nyumba 13*11

MANDEVUMENGI

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2018
Posts
1,345
Reaction score
3,570
Habari wakuu,

Nimefikia kwenye hatua ya kupaua kabanda kangu kenye ukubwa wa 13×11 naomba nijue nitatumia bati pc ngap? Na mbao 2*4 ngapi na 2*2 ngapi?.pamoja na feature body ngap.Bati nitatumia zile za 87cm mapana na urefu ft 3.

NAWASILISHA.
 
Inategemea na aina ya mpauo, paa refu au fupi, corner ngapi. Mambo ni mengi tafuta fundi wa karibu akupe uhakika
 
Acha waje kukupa muongozo ..tatzo mnajenga kisomi sana kila kitu makadirio.

Mi hata sijuaji size ya nyumba yang kitaalam..ila one day nilishapimaga lovallybkwa kuhesabu steps nikapatta mita 12 urefu [mbele & nyuma] na upana [ubavu kulia&kushoto] mita kama 7.
Mbao za 2x2 zilizama ,zaid ya 300 na 4x2 zikapotea zaid ya 200 bat za fut 10 zikatembea bado 15
 
inategemeana na paaa utaloezeka
 
Napaua hii mipauo ya kisasa mfano
 
Attachments

  • IMG_20231116_211500.jpg
    264.5 KB · Views: 57
Mimi niliezeka 13.1 x 9.6 nilitumia mbao 2x3 pekeyake mbao 320, fishabodi mbao 30(aliunganisha zikabebana Moja na nusu), bati nilipiga box profile za alaf bati 130, hapo king post ilinyanyuka mita 4.6
 
Kwa paa la kawaida kingpost inabid inyanyuke mita ngap?

Inategemea na angle unayotaka kuweka, mfano kama unataka uinue paa kwa angle ya 45, urefu wa kingpost unachukua urefu wa tie beam unagawanya kwa 2, ukitaka angle ya 30 unagawanya kwa 3.5, ukitaka angle ya 40 unagawanya kwa 2.5 n.k

Hii kazi inakula muda kufanya mahesabu, ndio mana watu wanapita kimya kimya sio kwamba hawajui, weka pesa mezani upate makadirio sahihi maana hata ukimuita fundi aje akufanyie mahesabu hatokubali kuja bure bure (labda kazi ya kupaua umpe yeye)
 
Watu siku hizi hawana shukran.
Anakuja analialia kukuomba umsaidie, ukishamfanikishia jambo lake anaanza kukuchafua.
Mbaya zaidi mafundi ujenzi tunadharauliwa sana
 
Habari wakuu,

Nimefikia kwenye hatua ya kupaua kabanda kangu kenye ukubwa wa 13×11 naomba nijue nitatumia bati pc ngap? Na mbao 2*4 ngapi na 2*2 ngapi?.pamoja na feature body ngap.Bati nitatumia zile za 87cm mapana na urefu ft 3.

NAWASILISHA.
Ikifikia mwenye upande wa umeme tupeane kazi boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…