Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
karibuNasubiri muongozo
Sawa mkuu lakin kwa mfano isizid bei gani..kwa mkoa wowote ule kwa kupitia raman hiiyoGharama za ufundi inategemea na ulipo, mnaweza kulelewana kuanzia msingi hadi kukamilisha boma, cha kufanya watangazie kazi ili waombe na wakupe quotation zao, then chagua kulingana na vigezo vyako.
Ok nashukuru mkuu..so nikilia lia 2m inaweza kumalizaKwa Morogoro lakini.
1. Msingi hadi kozi ya mwisho =1.7M
2. Kupaua au kuezeka =900,000
(Itategemeana na nguvu ya kupanga bei na fundi na fundi)
Pamoja sana bosi wanguUnamaliza kabisa. Huyo wa kujenga mwambie 1.2
Alaf wa kuezeka 700,000
Chenchi inabak
Na kujenga je inaweza kuja bei ganiKwa Mwanza kupaua hiyo haizudi 400,000
Dah huko uliko mnajenga kwa bei poa. Huku moro wanatupiga aisee.Mimi fundi wa kwanza alitaka m 2, wa pili akatakata 1.5 m, wengine walitaka 900K so nikampa wa 900K na kazi kapiga nzuri tu, kupaua ni 400k japo wengi walitaka 450K, kikubwa waambie wazi kwamba mwenye bei nzuri ndo atapata kazi, maana hawa mafundi wetu wana bei zisizokuwa na uhalisia
Asante sana..ushaur mzuri sana huugharama ya ufundi isizidi 30% ya gharama ya material.
Pia jenga in stages, wabongo ukiwapa kazi kubwa wanajua unahela then watawaza kukupiga/kukuibia.
Anza na msingi, then ujenz mpaka kumaliza noma, then bati.
hata kama unacash, usijenge yoote kwa pamoja, na uwe unalia kweli kwa mafundi kuwa huna hela
Pich ganNinaomba picha zaidi
Mkuu hako kajumba kanabeba tofali 6500 tu? Je bati ngapi?wakuu habarini...naomba msaada wa kujua garama ya kumlipa fundi ili anijengee nyumba kama hiyo pichani...Vyumba viwili vidogo vidogo 3*3. Sebule yenye....
Nimewem kama makadirio tu..zinaweza kuzidi au kupungua ila sitegemei ziongezekeMkuu hako kajumba kanabeba tofali 6500 tu? Je bati ngapi?
NimekapendaNimewem kama makadirio tu..zinaweza kuzidi au kupungua....ila sitegemei ziongezeke