Naomba makadirio ya kodi ya gari hili

Naomba makadirio ya kodi ya gari hili

Jamani naomba elimu, ikiwa umelipia gari kwa dollar 4000 cc 1800 ya mwaka 2007 makadirio ya kodi ya Used Motor Vehicles Valuation System itakuwa inaanzia sh ngapi hadi ngapi?
Taja aina ya gari tukuangalizie
 
Honda Crooss Road
Screenshot_20240912_065624_Samsung Notes.jpg
 
Search, TRA calculator. Unajaza humo inakupa makadirio ya kodi.
 
Kodi yake andaa milioni 8...maana Kodi za TRA zinabadilika kilasiku, usijichanganye ukasoma Kodi ya calculator ya tra ukaenda nayo kulipia hapo utakuwa umeingia cha kike.
Huu ni mfano ambao Mimi mwenyewe nimekutana nao mwezi July,2024.

Kama kwenye calculator inasoma million 7 basi andaa laki 5 hapo juu za pembeni
 
Back
Top Bottom