Taja aina ya gari tukuangalizieJamani naomba elimu, ikiwa umelipia gari kwa dollar 4000 cc 1800 ya mwaka 2007 makadirio ya kodi ya Used Motor Vehicles Valuation System itakuwa inaanzia sh ngapi hadi ngapi?
Honda Crooss RoadTaja aina ya gari tukuangalizie
Honda Crooss Road