Naomba Makadirio ya mbao kwa ajili ya Kenchi

Naomba Makadirio ya mbao kwa ajili ya Kenchi

nyamalagala

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
744
Reaction score
673
Habari wadau muhimu wa ujenzi.

Niko kwenye hatua za kupaua baada ya kupambana na boma. Sasa ombi langu ni kujua idadi ya mbao zitakazotumika kwenye mjengo wangu.

Nyumba ina urefu wa futi 37 na upana wa futi 22.10.

Nataka nitumie mbao za futi 12. Location yangu ni Bunju.

Nb. Ramani niliipata mtandaoni nikaipenda hivyo haina vipimo ila naamini mtanisaidia. Sitangazi biashara ya mtu ingawa kwenye ramani kuna namba.


Screenshot_20231129-195128.jpg
 
Back
Top Bottom